Zora Written Updates For 4th June 2021

zora-written-updates-for-4th-june-2021

Zora atampata Simba akifanya mazoezi. Simba anaona ako fiti hadi anataka plaster itolewe.

Zora atakuwa anaenda job but before atoke Simba atadai kujua more kuhusu grandpa wake. Zora atanyamaza Simba amwambie ni sawa tu kama hawezi mshow.

Kwame na Madiba bado wako worried about their uncle. Kwame atauliza Madiba kama anafikiria baba yao ako behind kupotea kwa Oscar.

Madiba ataamua kumkol Loretta kumuuliza kama amebonga na Oscar. Loretta atadai off late amekuwa akipata missed calls zake na akikol ni mteja.

Madiba atadai they have a reason that uncle Oscar is Missing, wamekuwa wakienda kwake wanapata mlango uko wazi but Oscar hayuko.

Loretta atadai Kama Oscar ako Missing it’s only two people who are behind it, Oliver and Zalena.Oscar naye tunamuona amelala chini na amefungwa mikono.

Then kutakuja msee flani akiwa na bunduki kwa mkono.Upande mwingine Madiba anaona wamwamini Aunty yao.

Madiba atawekea Kwame recording flani yenye Oliver na Zalena walikuwa wanagombana kuhusu siasa.

Oscar kumbe mwenye plan ya kumteka nyara ni Zalena, politics manze.Kumbe Oliver alimsaliti babake kisiasa.

Madiba atamwelezea Kwame kulingana na vile yeye anajua, even though Oscar alimpea Madiba hii story hakuwahi mwelezea vizuri.

Oliver na Zalena wamekuwa wakimtumia Madiba ili wajue kama Oscar anasimama kwenye siasa au la. Beef ya Oscar na kina Oliver ilianzia hapo.

Na Sasa angalau kina Madiba wanajua pa kuanzia.Zalena atamuuliza Oscar kama hakusikia after amempa onyo asivuke mipaka yake.

Oscar atamwambia pole lakini Zalena atamwambia he means nothing to her…

PART 2

Kwame na Madiba watamkuta Oliver wakitaka kujua place Oscar Yuko. Oliver atashangaa coz pia yeye hajui place Oscar ako.

Madiba atamwambia Kama yeye hajali kuhusu brother yake then wao wanajali uncle yao…so ni awaambie penye ako ama wapeleke hii story police station.

Oliver atasema ukweli yeye hajui Oscar kwenye ako. Oscar ni ndugu yake na wamwamini hajui penye ako. Kidogo Madiba atapata call kutoka kwa Oscar.

Madiba atapokea na Oscar ametishiwa adanganye ako sawa. Oscar atasema ako sawa wasiwe na wasiwasi.

After the call Zalena atamwambia Oscar atamwachilia aende but kitu ya Kwanza Zalena anataka Oscar aachane na shughuli za politics, pili aachane na familia yake na tatu aache kum provoke. La si hivyo Zalena atamuua.

Kumbe yule msee wa ile siku mwenye Madiba alitaka ampe Updates kuhusu Oscar ako side ya Zalena.

Zalena atamwambia amek sure anampa updates Zote kuhusu Oscar na script isibadilike. Zalena apea msee wake wa mkono kazi ya kum nurse Oscar na kumwosha vinonda.

Oliver ataambia kina Madiba hata wao wamejionea alikuwa anaongea ukweli. Hajui place Oscar ako.

Kwame atamwambia yeye ni muongo… after aliambiwa na Oscar ati bababyao amepass, alafu akamfukuza Oscar kama mbwa kutoka pale, wawezi muamini.

Oliver atajam aambie Kwame amechoka na uo upuzi wake wa false accusations. Oliver atajitoa.Simba ameamua kwenda kutafuta machuma na plastics auze kumsaidia mamake.

Fela naye atakuwa kwa kiti na ni kama hayuko vizuri. Ataanguka chini kwa floor. Zora akiwa anaelekea kufungua kibanda atapata call ya Fela but hataipokea.

Fela atakol mamake pia but hapokei.Simba atafika place ya kuuza zile vitu amepata. Msee wa kununua atakapoziona atasema ni 400, lakini kwanza itabidi wamepima.

After kipimo watapata ni 450. Simba atafurahi. Ataanza kupatiwa pesa akuhesabiwa ya Kwanza, ya pili then aambie ajipe shughli. Simba atauliza na hiyo 250?.

Huyo msee atamwambia amekata juu ya kisanga simba alimfanyia. Kumbe huyu boy ni yule Simba alipata akioga then Simba akamwaga maji yake.

Kama unakumbuka Zora ikianzaSimba ataambiwa hata amehurumiwa juu ya hali yake, sahii anafaa kuwa akipewa ngoto kadhaa. Mnaona watu hukutana wakuu so usitendee mwenzako mabaya ukidhani hamtawai patana.

The post Zora Written Updates For 4th June 2021 appeared first on CmaTrends.

Deeja

Leave a Comment on CmaTrends

Next Post

Apple TV Plus Announces 'Who Are You, Charlie Brown?' Release Date

Fri Jun 4 , 2021
Apple TV Plus announced that the documentary special “Who Are You, Charlie Brown?” will premiere on June 25. Narrated by Lupita Nyong’o, the special will honor “Peanuts” creator Charles “Sparky” Schulz and celebrate the significance of the timeless comic strip with a new animated story that follows Charlie Brown on […]